The Survivors Gospel Choir – Mashamsham Mp3 Download. Tanzanian gospel choir, The Survivors Gospel Choir has released a new praise music song titled “Mashamsham”.
Listen, Download & Share below.
Mashamsham by The Survivors Gospel Choir
Quotable The Survivors Gospel Choir – Mashamsham Lyrics
Mashamsham Tele tele
Bwana Mungu ameniondolea haya
nimekolea, mashamsham
adui zangu wameniondolea kero
Nina raha moyoni mmmh
Bwana umenipa kicheko
Nina raha moyoni mmmh
Bwana amenipigania
Mashamsham, tumepewa na yesu
katuliza shwari
Sasa tuna chanua chanua chanua
Usicheze na Yesu katuliza shwari
x2
nyimbo zenu iko sawa kabisa muende hivo msirudi nyuma ata mimi naeza wajoin