Saraphina – Wamerudiana Mp3 Download. Tanzanian female musician, Saraphina has released a new heartbreak love music song titled “Wamerudiana”.
Produced by Aloneym.
Listen, Download & Share below.
Wamerudiana by Saraphina
Quotable Saraphina – Wamerudiana Lyrics
Ulinidanganya, Mi wa kufa kuzikana
Nami nikazama, Kukupenda Baba
Ye si ndo alofanya, Ukalia sana
Moyo ukaugawanya, Mbona mmerudiana
Siamini tena mapenzi
Wamerudiana, Wamerudiana
Ndo yule alomuumizaga, Wamerudiana
Alouponda moyo wake, Wamerudiana