Harmonize – Mwaka Wangu Mp3 Download. Tanzanian musician, Harmonize has released a new inspiration Amapiano banger music song titled “Mwaka Wangu”.
Produced by Young Keez.
Listen, Download & Share below.
Mwaka Wangu by Harmonize
Quotable Lyrics
Mlosema haolewi olewei mbona kaolewa?
Mlosema hapewi hapewi mbona amepewa?
Mwaka huu ni wangu
Kutimiza ndoto zangu
Nasema mwaka huu ni wangu
Kwa baraka za Mungu wangu
Dear Lord
Hakuna Mungu kama wewe Baba (Eeh Hakuna)
Kama wewe Yahweh (Eeh hakuna)
Hakuna Mungu kama wewe Baba (Eeh Hakuna)
Kama wewe Yahweh (Eeh hakuna)