AUDIO

Amber Lulu ft Kayumba – Halichachi

Amber Lulu ft Kayumba - Halichachi Mp3 Download

Amber Lulu ft Kayumba – Halichachi Mp3 Download. Tanzanian musician, Amber Lulu has released a new love banger music song titled “Halichachi”.

Produced by Mafia.

Listen, Download & Share below.
Halichachi by Amber Lulu ft Kayumba

DOWNLOAD MP3

Amber Lulu ft Kayumba – Halichachi Lyrics

Sitatema Bigjii
Kwa karanga za kuonjeshwa
Macho yote kwako Pengine sitopepesa
Eeh
Huba ulionionyesha
Lenye sumu kali mwenzie limenitepesha, mmmh
Sifa ninakupa kwa mnong`ono
Mapenzi shule nawe umehitimu somo
Nipe juma nibomoe bomo
Akili liwe fyatu wanisome kisomo

Ile pruu mpaka maka, Niwe nyaka nyaka
Tamu ya sakata, Na sotojo la bata
Hang nang`ata, Mwendo wa kunyata
Jini kisirani, leo kiti umempata

Related: Platform Tz – Smash | Mp3 Download

Justvideolife WhatsApp Group

Leave a Comment