Lyrics

Jux ft Diamod Platnumz – Sugua Lyrics

Jux ft Diamod Platnumz - Sugua (LYRICS)

Jux ft Diamond Platnumz – Sugua Lyrics

Jux ft Diamond Platnumz – Sugua Lyrics & Mp3 Download. Check out new music lyrics for Sugua by Jux ft Diamond Platnumz. Listen, Free Download here, enjoy and share.

Download HERE

Sugua Lyrics and sing along below

Intro:
S2Kizzy Baby

Verse: Jux
Sensima,
Mtoto mpe funguo za bima
Kanitoa Bongo nimefika mpaka China
Toto, Zipu ka kishungi nimezima
Kamenipa lunch nimekula mpaka dinner yeah
Santana santana (Guitar)
Kitandani maji maji yanapambana (Vita)
Kana inama kana inama (Kana inama)
Kanavyo iokota kama maua sama
Paka rukwili kwili sikopeshi (Siko peshi)
Namlipa mbili mbili sina breki (Sina breki)
Nakadudisha mwili kitenesi (Kitenesi)
Kamenikiri kiri mara murder case (Eeh)
Asa nionyeshe alichokupa mama

Chorus: Jux
Sugua! sugua! sugua!
Sugu sugu sugu (Mama wee)
Sugua! (Aaahahaa)
Sugua! (Aaahahaa) Its Platnum
Sugua! (Aaahahaa) Aaah Zombie
Sugu sugu sugu (Tee)

Verse: Diamond Platnumz
Ungependa pini pini ama kitoto
Nikupe kwa chini chini ama kwa ngoko
Goli sabini bini ama kimako
Chenga mwilini lini Jonny Boko (Mbrooke)
Udi! udi udi udi (Udi)
Katoto kako good good good (Good)
Mood! mood mood mood (Mood)
Navyo katafuna kama food (Oyaa)
Katoto yani do salale (Eeeh do salale)
Nakapa fishi kambale (Eeeh wa kambale) Whou
Kibidu bidua (Oooh bidua)
Pindu pindua (Oooh pindua)
Yaani naka chimbu chimbua (Ooh chimbua) uuh
Nambandika bandua
Yaani kama gaga limekwama kwenye guu

Chorus: Jux
Sugua! sugua! sugua!
Sugu sugu sugu (Mama wee)
Sugua! (Aaahahaa)
Sugua! (Aaahahaa)
Sugua! (Aaahahaa)
Sugu sugu sugu (Oya)

Outro:
Diamond Platnumz
Baby, wakiweka unaweka (Weka tuone)
Ukichomoa nachomeka (Weka tuone)
Weka weka weka mpaka down (Weka tuone)
Komesha watoto wa town (Weka tuone)
Jux
Weka kama unasusa (Weka tuone)
Nisogezee kisambusa (Weka tuone)
Weka weka weka mpaka down (Weka tuone)
Nikomeshee watoto wa town (Weka tuone)

Enjoyed? share with friends.